Contact Us

JINSI YA KUSAMBAZA NYIMBO KUPITIA ZETUTRACK

Msanii yeyote anayetamani kusambaza nyimbo zake kwa urahisi na kufikia wasikilizaji wengi, anaalikwa kujiunga na Website ya Zetutrack.

Baada ya msanii kuwasiliana nasi na kuelekezwa kwenye hatua za usambazaji, anatakiwa kulipa gharama ya usambazaji Tsh 20,000 tu. Malipo yanaweza kufanywa kwa SimuΒ (Mobile Money) kulingana na maelekezo yatakayotolewa.

Baada ya kutuma malipo, msanii anatakiwa:

  1. Kutuma uthibitisho wa malipo (screenshot au meseji ya malipo)
  2. Kutuma nyimbo zake (audio files)
  3. Kutuma picha yake au cover ya wimbo

Taarifa zote hizi zinatumwa kupitia WhatsApp ya Zetutrack kwa urahisi na haraka.

Baada ya kupokea malipo na nyaraka zote, Zetutrack inaanza mchakato wa kupakia na kusambaza nyimbo zako kupitia website yetu na majukwaa husika, kuhakikisha kazi yako inafika kwa wasikilizaji wengi kwa ubora na uaminifu.

Kwa mawasiliano zaidi: +255 754 054 479

πŸ‘‰ Zetutrack – Pata Nyimbo Mpya, Sambaza Muziki Wako kwa Urahisi!